TOT Y2K [Kwa Raha Zangu Taarab] [Kwa Raha Zangu Taarab] Taarab za zamani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 апр 2025
  • Usisahau ku subscribe kwenye link hii www.youtube.co...
    Taarab za zamani
    TOT Y2K

Комментарии • 77

  • @BURUDANIAFRICA
    @BURUDANIAFRICA  6 лет назад +6

    Subscribe for more taarab music ruclips.net/user/BURUDANIAFRICA

    • @mercycarlos7397
      @mercycarlos7397 5 лет назад

      Mkuu naenda pata ule wimbo wa nipe nipe raha mtoto wakitanzania

  • @hamisimkongo1543
    @hamisimkongo1543 5 лет назад +8

    Back in 1999 au 98, nice memories from my mom

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 6 лет назад +6

    Hapo nilikuwa drs la7 ukitoa madaftar yangu kulikuwa halikos daftar maalumu la nyimbo zote nimehifadhi humo brek ilikuwa nikuimba tu namashost wangu nilikuwa na best mmoja anatokea kigoma alikuwa kiboko wa voice nzur

  • @kinnamaina7548
    @kinnamaina7548 6 лет назад +6

    Naipenda sana y2k enzi hizo nipo mdogo mwenyew, kwetu hata TV hakuna tunaenda kuangalia mtaa wa saba duuh.

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 месяца назад

    Nakumbuka mbali sanaa

  • @zakiadaudi2401
    @zakiadaudi2401 6 лет назад +3

    Y2k haichuji 💞💞🔥💝😘😍cyo mitaarabu ya sasa!

  • @nellymwangilwa4288
    @nellymwangilwa4288 5 лет назад +2

    Y2k na hangaisha wasomi ,doctors na engineers😘😘😘😘😘

  • @zuberimkala8273
    @zuberimkala8273 6 лет назад +7

    Those dayz nkiwa class 2 Kenya nlikua nimeikram yote hii nyimbo pamoja na paka mapepe

  • @AziziKiongozi
    @AziziKiongozi 7 месяцев назад

    Mtandao Nimetawala Naitikisa Dunia

  • @rosepeter415
    @rosepeter415 6 лет назад +4

    Huu wimbo nakumbuka Morogoro nyumbani tulikuwa tunaimba hatariii Khadija wewe ni Mama yao

  • @nyangunyangu8679
    @nyangunyangu8679 6 лет назад +7

    Y2k.Namkumbuka mama kiboko. Ligula"b"Mtwara.

  • @mwanaharusiabdallah7054
    @mwanaharusiabdallah7054 6 лет назад +2

    Jamani enzi hizo niko kama wote vilee bado sijaitwa mama

  • @faizmusaabdallah6430
    @faizmusaabdallah6430 6 лет назад +4

    Nakumbuka hapo Khadija kopa anatoka na kuanza kujulikana Kenya niko shule ya msingi

  • @issahasan1299
    @issahasan1299 Год назад

    Zamani gani ngoma ilitikisa sana hiyo mwenyezi atupe umri mrefu

  • @princetevee8663
    @princetevee8663 3 года назад +1

    Tunaosikiliza 2021 gonga like tuonane

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 3 месяца назад

    Reminds me of 2000 living at Temeke Viternary near TAZARA Flats

  • @zaitunadila5688
    @zaitunadila5688 2 года назад

    Jamani kwa raha zangu

  • @safiababu9266
    @safiababu9266 6 лет назад +1

    Khadija Kopa zamani sio sasa balaa

  • @himaryamhaidar5612
    @himaryamhaidar5612 5 лет назад +1

    Kibokoo kweeli mammmaaaahhh...penda saana huna mbaya...

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 5 лет назад +7

    Hiyo ulikuwa ni romours kuwa mwaka 2000 mwisho wa dunia kila kitu kitasimama including computer. Inakumnusha Marehemu Amina Chifupa akitanga Clouds

  • @asmaally1621
    @asmaally1621 3 года назад

    Naipenda sana hii taarabu

  • @mavumbamavumba1927
    @mavumbamavumba1927 6 лет назад +3

    Wakati huu Khadija kopa ndipo alipokua anaimba, asahivi amekwisha hana lake jipya, hakuna wa kushindana nae.

  • @victormkongewa5229
    @victormkongewa5229 7 лет назад +6

    Aa lovely song remember me tanga chumbageni mallet.2000 wapi br Flavian christopher

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  7 лет назад

      Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap

  • @trizangugi8119
    @trizangugi8119 9 месяцев назад

    2024 😊😊😊

  • @KennedyWanjala-m7d
    @KennedyWanjala-m7d 8 месяцев назад

    Nlikuwa class 5 wakati huo jamani memories

  • @sahirjuma2266
    @sahirjuma2266 2 года назад

    Yaani nakumbuka mdongo kweli mtaani rusharoho dili wiki mzima unavuma kama kunarusharoho siku fulani yaani ya harusi watu wanatoka kaskazini na kusin ile nafsi hupati ya kuangalia

  • @nyangunyangu8679
    @nyangunyangu8679 6 лет назад +4

    Mambo ya pwani. Yaliyopita yanafuraisha.

  • @kitiarajabu5010
    @kitiarajabu5010 6 лет назад +13

    nimeomba sana muiweke kinyang'unya jamani hizi mm ndio nyimbo zangu nazipenda sana zinanikumbusha kipindi hicho nikiwa tanga

  • @ayshaaysha9650
    @ayshaaysha9650 6 лет назад +5

    YAKALE DHAHABU HADIJA HAP BIG UP BUT NOW NOT NISE

  • @kacimonpoint4598
    @kacimonpoint4598 3 года назад

    Just great

  • @richbird.123
    @richbird.123 6 лет назад +4

    Yanikumbusha mbali sana yaani hapo bado mdogo na harusi nyumbani zikiwa kwa wingi naomba uniekee ila zoba zoba ilooo

  • @gideonmsangi3844
    @gideonmsangi3844 7 лет назад +3

    Safi sana enz hzooooo

  • @nganzirashidi1463
    @nganzirashidi1463 6 лет назад +2

    Enzi za 97 nakumbuka mengi sana

  • @njokasamwel5226
    @njokasamwel5226 6 лет назад +3

    cool songs

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  6 лет назад

      Thanks. I am glad unaburudika na muziki wa taarabu . Dont forget to subscribe and share with friends

  • @maximobonga9617
    @maximobonga9617 6 лет назад +3

    safii

  • @halimarajabkenya9413
    @halimarajabkenya9413 4 года назад +1

    Hapa raha tuuuu, hizi ndo taarab za kuskiza yaani moto

  • @aishaaisha9876
    @aishaaisha9876 7 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @aishaally8062
    @aishaally8062 3 года назад

    Pambe tuuuuuuuuuuuuiuuuuu.

  • @naimabwinga8572
    @naimabwinga8572 7 лет назад +2

    y2k 2000 hii.when i was young

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  7 лет назад

      Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap

    • @salumally926
      @salumally926 5 лет назад

      Y2K inanikumbusha nipo form three ilikuwa c mchezo

  • @yegedegede5722
    @yegedegede5722 3 года назад

    Mungejua ninavyo jimwayamwaya saa nane hii na nyimbo hii nimekosa usingizi basi burudani tupu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 6 лет назад +5

    1995 henzi hizo taraabu taraabu kweli,sio sasa mugokaa mtupu tu.

  • @aminaabubakar4784
    @aminaabubakar4784 6 лет назад +3

    ujana ni moshi jamani

  • @mydiary39
    @mydiary39 3 месяца назад

    Tunaosikiliza 2025 tujuane

  • @zainabujafari4542
    @zainabujafari4542 6 лет назад +2

    Nilikua bado mdogonikiisiliza kama imeimbwa leo

  • @frankfranklyn376
    @frankfranklyn376 4 года назад

    Nikisika hii nyimbo najiona bikra vile.. enzi hizo sijui madem n nn.. enzi hizo nategemea kuletewa sio leo naenda mbio ndio nile.

  • @farajimtima9331
    @farajimtima9331 4 года назад

    Marekani na Japan walikaa kunifikiria

  • @lizzygold2484
    @lizzygold2484 7 лет назад +3

    ezi zetu temeke kata kumi na mne lrikuwa sio powa

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  7 лет назад

      Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap

    • @jafaripaje5366
      @jafaripaje5366 5 лет назад

      Hahahahaha!! Kulikuwa na vibaka sana akina Kadasi, Jumanne n.k. Nilikuwa naishi Vertinary kituo Cha magari ya Mwenge Tazara.

  • @jumadea6899
    @jumadea6899 4 года назад

    hatariiii

  • @farajimtima9331
    @farajimtima9331 7 лет назад +7

    Hizi ndio taarabu

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  7 лет назад

      Asante. Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap

  • @mohammedmtinangi846
    @mohammedmtinangi846 7 лет назад +1

    Laa hee hapa ndo pake

  • @saidngure6490
    @saidngure6490 6 месяцев назад

    😅 ok

  • @Fatuma-hm2sv
    @Fatuma-hm2sv 7 месяцев назад

    Y2k yamaanisha nini?

  • @jumadea7957
    @jumadea7957 7 лет назад +3

    kipindi hicho wanachuana na Nasma kidogo

    • @BURUDANIAFRICA
      @BURUDANIAFRICA  7 лет назад

      Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap

    • @azizaharuna6508
      @azizaharuna6508 4 года назад

      Mama tupia homa la jiji humu

  • @williammatayo2811
    @williammatayo2811 4 года назад

    RUclips