SHETANI |Ep 1|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 мар 2025
  • #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
    ⭐⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
    Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
    Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
    Subscribe hapa : / @comedyplustz
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Комментарии • 727

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 10 месяцев назад +124

    Maua kwa mwasi jamani kama unamfahamu kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😂😂😂😂

    • @Bibi-he6vt
      @Bibi-he6vt 10 месяцев назад +3

      Mwasi the best ❤❤❤❤

    • @BahatiMateru-us7zt
      @BahatiMateru-us7zt 10 месяцев назад +1

      Tunamjua aiseeee

    • @AgnesMasoud
      @AgnesMasoud 10 месяцев назад +1

      Mwasi kajiunga na bhailam mashallah

    • @Bint-Zanzibari
      @Bint-Zanzibari 10 месяцев назад +1

      Kakoso🤪

    • @AnithaMunuo
      @AnithaMunuo 10 месяцев назад

      Nampenda sana mwasi jaman sijui anaish wapi

  • @Lion_Boy
    @Lion_Boy 10 месяцев назад +1

    🇨🇩 ❤

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 10 месяцев назад +23

    Mwasi km mwasi
    ❤❤❤❤❤❤

  • @mrsabdul-mz8hh
    @mrsabdul-mz8hh 10 месяцев назад +14

    Ohooo Amkeni uko mambo yeshakua mambo huku
    Picha linajisoma hv ss *SHETANI❤❤*

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 10 месяцев назад +19

    Wapi likes za naomi. Nguvu za Mungu ziko very powerful kuliko za shetani😂😂

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 10 месяцев назад +40

    Number 1 today much love from BURUNDI 🇧🇮 team Strong mkowapi gong Likes 5 Guys 😢😢

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 10 месяцев назад +17

    Wangap tumefurahi kuona KAKOSO wa mchongo kwenye COMEDY PLUS 😂😂😂😂😂😂😂😂 ONGEREN NYTE GUYS ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @LisaDequte
      @LisaDequte 10 месяцев назад

      Kakoso kwenye umbo la mwasi😂😂😂😂

  • @ndayiragijejeanclaude-rh1zl
    @ndayiragijejeanclaude-rh1zl 10 месяцев назад +71

    Alieona kwamba Mzee ndooo uzuli nikucane shetani agonge like hapa👍👍

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 10 месяцев назад +7

    Waoooo nime furahi kumuona baba angu Simba nagupenda sana baba angu simba

  • @justinepius2641
    @justinepius2641 10 месяцев назад +27

    Huyu mchungaji wa mchongo aiseee!!! Nusu muislam na nusu Mkristo!!!😂😂😂
    Ukisikia kufeli kwa mwandishi ndo hapo sasa!!! Hebu rekebisheni apo aiseee!!! Wachungaji huwa hawavai vibaragashia

    • @metrinenyakoe1764
      @metrinenyakoe1764 10 месяцев назад +1

      😂😂😂

    • @zaifatymohamedy4126
      @zaifatymohamedy4126 10 месяцев назад +1

      hahaaa yani hatar na nusu

    • @glorymanga3650
      @glorymanga3650 10 месяцев назад +2

      Boraaa umenisaidiaaa

    • @MarryMbiu-si2sz
      @MarryMbiu-si2sz 10 месяцев назад +5

      Nimefurahi kumuona mzee simba dhahili nimuisilam lakin hajaibagua dini mauwa yako🌷🌷🌷

    • @MarryMbiu-si2sz
      @MarryMbiu-si2sz 10 месяцев назад

      MUNGU amuongoze tena sana ankitu ndani yake

  • @ReylahCastory-w7y
    @ReylahCastory-w7y 10 месяцев назад +11

    Tuko pamojaa jaman adii mwishoo wa season❤❤❤

  • @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
    @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 10 месяцев назад +10

    Finally mmetoa ingine nilikuwa nimengoja Kwa hamu Sana asanteni🎉🎉🎉

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 10 месяцев назад +9

    Movie nzur sana sana

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 10 месяцев назад +9

    Much love from saudi kazi njuri sana nawapenda sana

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli 10 месяцев назад +6

    New season ❤❤❤ team bhailam pendwa kaz nzuriiii 🎉🎉🎉

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuel 10 месяцев назад +7

    Hayo ndio mambo na yoyapenda kazi nzuri boss

  • @YvetteSIBOMANA-ce2hz
    @YvetteSIBOMANA-ce2hz 10 месяцев назад +6

    Haufananishwi nakitu kingine amen mzeee simbaaa huyooo gongeni like hapa wapendwa!😂😂🎉🎉

  • @wesakaruku2216
    @wesakaruku2216 10 месяцев назад +4

    kama umemuona Naomi na JoJo gonga like hapa! this is an extraordinary movie with high standard. I from 254🇰🇪

  • @Shadya-ju2el
    @Shadya-ju2el 10 месяцев назад +2

    Yan sijapenda kbs mzee simba nusu mkiristo nusu muislam mwandishi rekebisha sijapenda

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 10 месяцев назад +10

    Usikute uyo shetani mwenyewe nywele ni Rechoo😂😂😂😂😂

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 10 месяцев назад +1

      😂😂😂😂

    • @Fatma-to6rq
      @Fatma-to6rq 10 месяцев назад +1

      😂😂😂😂yani natamani ni yy akii mana nikivurugee yule

    • @WitnessMdule
      @WitnessMdule 10 месяцев назад

      😅😅😆😆😆

    • @theopistersaimon9664
      @theopistersaimon9664 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @MorfenBotros
    @MorfenBotros 10 месяцев назад +4

    Wow Wow 💪💪💪💪🙏🙏🙏🇧🇮👌👌👌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 10 месяцев назад +2

    Team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawasalimu mko poa nyote aya tusiwe karibu na shetani jamani.

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 10 месяцев назад +1

    Jamana COMEDY PLUS tunawapenda sana Maana mmeanza kutuburudisha Toka Kwenye WAKE WENZA mpaka Sasa na SHETANI hongereni sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @DavinaPhanie
    @DavinaPhanie 10 месяцев назад +1

    Munaweza sana kàbisa Mungu azidi kuwaimalisha❤❤❤

  • @EmilyRehema-p1e
    @EmilyRehema-p1e 10 месяцев назад +101

    mm nimefurahi kumuona Mzee Simba ni Wa ngapi wamefurahi kama mm waweke likes hapa hata 5

    • @gershomchallo
      @gershomchallo 9 месяцев назад

      Ila kofia hiyo akiwa anasali na Biblia. Director kachemka..

  • @NabanjaMutwalibi
    @NabanjaMutwalibi 10 месяцев назад +3

    Thanks for the show mach blessings from Allah

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 10 месяцев назад +1

    Team Bailam ni moto Sana wote tunawapenda hongeleni sana Mzee simba anajuwa jamani tena tunamupenda apewe mauwa yakee 🎉🎉🎉🎉🎉From malawi japo nipo south africa hila sijawahi kukosa kaz zenu ❤❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 10 месяцев назад +1

    Hongera sana bhailam hii movie imetulia sana❤❤❤

  • @Zulpher-d1x
    @Zulpher-d1x 10 месяцев назад +3

    Moto sana aky hongera kwa mzee simba

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 10 месяцев назад +1

    Manshallah Movie Nzuli😮😮🎉🎉🎉🎉

  • @stellakadzo1624
    @stellakadzo1624 10 месяцев назад

    Kakoso by Mwasi uko juu nkukubali Dadangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Move love from 🇰🇪❤❤❤❤

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 10 месяцев назад +8

    Move Kali kinyama Sema Mzee simb umebug kuhubili uku ukiwa umevaa kofia ya kiislam 😂😂😂😂😂

  • @giftelinazi3487
    @giftelinazi3487 10 месяцев назад +3

    saw mzee simba nakukubali kinoma mnoooo tenaaa mzee simba ushakuwa mchungaj

    • @kladahmad3333
      @kladahmad3333 10 месяцев назад

      😂😂😂😂❤❤❤❤

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 10 месяцев назад

      Na kibarakaeshe juu 😂😂

  • @OfficialEzra-u6t
    @OfficialEzra-u6t 10 месяцев назад +21

    Alieona pastor kavaa kibaragashia ngonga like

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 10 месяцев назад +1

    Hatareeeee ndani ya mjengo,mko vifresh wadau🎉🎉🎉🎉❤❤❤#mwasi uwepo wako nautambua 💋

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 10 месяцев назад

    Mwasi Kama mwasi much love from kenya 💞

  • @henrymusango3481
    @henrymusango3481 10 месяцев назад +2

    Me n fun mkubwa wa clam na snake boy lakini hii Iko top ...Kali sana 🔥

  • @Lion_Boy
    @Lion_Boy 10 месяцев назад

    Pastor ana vaa mtama wa chr

  • @DADAZfilms2023
    @DADAZfilms2023 10 месяцев назад +3

    Kakosoo ndani ya nyumba 😂
    Hii shetan kama ya moto hivii Yan akiwepo bhailam naomy na timu nzima ya comedy plus bac ujue mambo yanakua hot 🥵🔥🔥❤
    Ep ya kwanza tu tumefunguliwa na dakika 23 we uogopii😂😂😂😂🔥

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 10 месяцев назад +1

    kali sana🔥

  • @KIFUNDY6-qk7ef
    @KIFUNDY6-qk7ef 10 месяцев назад

    😂😂😂😂 hhhhhh ah😅 Jamani leo nimecheka sanaaa MZEE WA NDO UZURI Leo umenikosha htry wallahi 😅 umekula rungu kwa naomi unawahdithia wenzako wanakucheka unajidai kukaza😂😂😂😂❤

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 10 месяцев назад +3

    Kazi nzuri sana na mzee simba na bint Naomi endeleeni kueneza injili ya yesu kristo aliyehai🙏🏽🙏🏽

    • @AbcDef-p3q6v
      @AbcDef-p3q6v 10 месяцев назад +1

      Kbx weny macho ya roho wanajua nini maana yahii cinéma

    • @SalamaFrancis-yg7sr
      @SalamaFrancis-yg7sr 10 месяцев назад

      Ila asingevaa hio kofia .... wachungaji hawavai iyo 😅​@@AbcDef-p3q6v

  • @TumainiMolel-jm6eu
    @TumainiMolel-jm6eu 10 месяцев назад +4

    Kazi kazi imeanza❤❤❤❤🎉

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 10 месяцев назад +1

    Nime pendezwa sana na Hio na fasi ameicheza mzee simba Mungu awabariki

  • @IrakozeFuraha-n5f
    @IrakozeFuraha-n5f 10 месяцев назад +161

    Wanao mpenda mzee ndo uzuli nikuchane gonga like apa ❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 месяцев назад

    Hongera mxeee simbaaa kote kote upo hubagui dini bravooooooo ❤❤❤

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 10 месяцев назад +5

    😅😅😅 dhaaa ndouzurii kawa mchaw😅😅

  • @sandejacob623
    @sandejacob623 10 месяцев назад +3

    Hakika ni kweli shetani yupo kazini na kafika, hakika inatupasa tutubu kwa bidii na kumrudia Mungu,
    Mungu akuongoze bhailam uufunue ukweli wote uliojificha nyuma ya pazia

  • @madymag6926
    @madymag6926 10 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana mzee simba nawakubali sana❤❤❤❤❤

  • @Nyanchama-c1n
    @Nyanchama-c1n 10 месяцев назад

    Wow nice movie congrats❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 месяцев назад

    Haha mzee hamzaa imekula kwako hiyooo shetani na Mungu wapi nawapi🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️viboko sio vaichii hiyoo..hadi kibaraka amecheka

  • @DaynaAloyce
    @DaynaAloyce 8 месяцев назад

    Yani ni fireeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OdancyNsengiyumva
    @OdancyNsengiyumva 10 месяцев назад

    I love the way you guys act keep it up

  • @SaddatMadeni
    @SaddatMadeni 10 месяцев назад +11

    Wakwanza leo nipeni maua yng

  • @AnnyAnitha-dj6uv
    @AnnyAnitha-dj6uv 10 месяцев назад +4

    Wakwanza frm Burundi🇧🇮🇧🇮

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 10 месяцев назад

    Movi zuri san nampenda san naom mm hila hyoo shetani ni rechoo tu akuna mwwngine

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 10 месяцев назад

    Kazi mzuri na tumefurahi kumuona mwasi apewe mauwa yake ❤❤❤❤❤

  • @YasithaEdward
    @YasithaEdward 10 месяцев назад

    Movie nzuli,naimependa ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @FatmaBalahmar
    @FatmaBalahmar 10 месяцев назад

    Nampenda san Naomy natman san aslim wallah ntafurahi

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 10 месяцев назад +1

    Wow ni nayo ni Moto🔥🔥🔥🔥wa kuotea mbali team Bailam hongereni sana nawatazama nikiwa inchi ya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @SidonMathias-qy7wz
    @SidonMathias-qy7wz 10 месяцев назад +1

    Jaman ninzur sana mno mwendelezi tu

  • @rahmaoman470
    @rahmaoman470 10 месяцев назад

    Bailam ujawahi kutuangusha hili ni bonge la story na ni maisha yakweli tumludie mungu dunia iko ukingoni shukln sana bailam❤

  • @yunuschum3754
    @yunuschum3754 10 месяцев назад +3

    New series first ☝️🔥🔥

  • @BethiGody
    @BethiGody 10 месяцев назад +3

    😂😂😂apo kwamzee simba kua mchungaj Alf kavaa kibaragashia mmefeli

  • @aminahaule1806
    @aminahaule1806 10 месяцев назад

    Ohh mzee simba hongera sanaaa 🎉🎉hongera team bhailam kazi,iko vema sanaaaa

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 10 месяцев назад +1

    Kakoso mke uko leo nakupenda
    bure ❤❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 10 месяцев назад

    Mashaal asant sana ❤❤🎉🎉🎉🎉😢😢😢😂😂😂

  • @zenasalumu8570
    @zenasalumu8570 10 месяцев назад

    yaani hii ni nzuri mnoo, mungu awaepushe na mitihani ili muweze kuitoa kwa wakati,
    mauwanyenu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 10 месяцев назад

    Kazi nzuri. Kenya Watching, twapenda

  • @OfficialKajenga
    @OfficialKajenga 10 месяцев назад +1

    Me nahc huyo shetani ni rechoo maana😂😂😂😂

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 10 месяцев назад

    Mpegijaje humu Padri anavaa kibarakaa sheikh😇😇

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i 10 месяцев назад

    Bien vraiment ❤❤🎉🎉

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 10 месяцев назад +1

    Do udhuli😂

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 10 месяцев назад

    Karibu sana series yetu mpya, mwanzo mzuri sana, tutajitahidi kuielewa❤

  • @melaulepotot
    @melaulepotot 10 месяцев назад

    Very very nice 🎉🎉🎉 zenyu team izima

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 10 месяцев назад

    Waaaw karibuni sana mzee simba,jojo,Naomi, bhailam, karibu😢😢

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 10 месяцев назад

    Kama umegundua hio sebule ni ile ya my love tujuame kwa kopa ❤❤❤

  • @naomiehakizimana5000
    @naomiehakizimana5000 10 месяцев назад

    Hii movie kali sana nimeipend aje hongereni timu yote mzee Simba waouh❤❤❤nzuli san shetani amefika😂

  • @Emelanciene1652
    @Emelanciene1652 10 месяцев назад

    Waooooo nimependa jmn naomi na mzee simba mukicheza hivo nimefulahi sana ndo uzuli ameyatimba kumbe shetani 😅😅😅😅😅

  • @HawaTuwa-o7y
    @HawaTuwa-o7y 10 месяцев назад

    Sasa mzee simba jaman mchungaj na kibagarashia wap na wap apo mmetupiga😂😂😂😂 lkn twawapenda❤❤❤

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 10 месяцев назад

    Mkovixuli Daah 🤣 tamu sana🇴🇲🇴🇲

  • @AbusalimButchery
    @AbusalimButchery 10 месяцев назад

    Mzee ndo uzuri umetisha nakubali mjomba na hilo lishati 😂😂😂😂

  • @mejumaaabuu618
    @mejumaaabuu618 10 месяцев назад

    Kazi nzuri jmni,Naomi nakupenda Bure mummy

  • @KandySamz
    @KandySamz 10 месяцев назад

    Mzee Simba umechemsha yani umevaa Cha wallah kisha huku umebeba bibilia

  • @IngabireKezia
    @IngabireKezia 10 месяцев назад +5

    hii ilikuwa nzuri zaidi na ina mafundisho makubwa lakini yule msichana aliyekupa kitabu akakwambia ukifiche yule shetani asije akakikamata na mimi niongezewe tafadhali hicho kitabu kichunge sana tusije tukasikia habari mbaya kwamba hicho kitabu kimefika mikononi mwa shetani dunia hii yote itaangamia hivyo vitabu vikifika mikononi mwa shetani jitahidi kuficha hivyo kitabu kwa sababu ndiyo ndicho kitakacho okoa watu wote ya watu wote😊😊

    • @gyslaineiradukunda6731
      @gyslaineiradukunda6731 10 месяцев назад

      😂😂😂😂Una nini lakini

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 10 месяцев назад

      @@gyslaineiradukunda6731 kwa nini unasema una nini lakini

    • @Mohabmts
      @Mohabmts 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 10 месяцев назад

      and if I have done wrong writing this, please forgive me 🙏🙏🙏🙏😢😢

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 10 месяцев назад

      and if I have done wrong writing this, please forgive me 🙏🙏🙏😢😢

  • @DavinaPhanie
    @DavinaPhanie 10 месяцев назад +1

    Ndugu zangu naomba niulize kitu pasta naiyo kitu kicwani na bible sielewi ni chehe au pasta😂😂😂😂

  • @Noela-x6
    @Noela-x6 6 месяцев назад

    Huyu nimchungaji ama shekhe😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @kabusieugexman131
    @kabusieugexman131 10 месяцев назад

    So interesting.
    Asante kwa hizo Idea nzuri, na pia asante kwaku tukumbusha gisi tuwe tayari mda wote

  • @amisaselemani1
    @amisaselemani1 10 месяцев назад +6

    Kila ulimi utakiri ya kwamba YESU ni BWANA . Nahona ata waislam mnaanza kukiri, Amina Sana .

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 10 месяцев назад +1

      Acha ukuma umbwa wewe ,,dini ni moja tu na yesu ni mtume wa mungu sio mungu kama munavyo sema labda waislamu wa huko kwenu

    • @SultanDelavega-g9r
      @SultanDelavega-g9r 10 месяцев назад

      Sio kosa lake muelewe uoni ana itwa selemani….amna sele alie zaliwa mrefu akawa na akili sio kwl

    • @amisaselemani1
      @amisaselemani1 10 месяцев назад

      @@saumbliz8983 ndo dini yenu inavyo wafunzaga ivyo kutukana watu? Maana kila mwislam akitaka kuutetea uislam lazima atukane.

    • @MariamMajid-iu9mp
      @MariamMajid-iu9mp 10 месяцев назад

      Sasa apo waislam waingiaje apo yan watu wengine bwana

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 10 месяцев назад

    Aky hii video ni nzur nmeipenda maana kiukweli dunia imefika mwisho

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 10 месяцев назад

    Asanteni kwa move nzuri ❤❤❤❤

  • @DelphinKatembo-ni5fw
    @DelphinKatembo-ni5fw 10 месяцев назад

    Amina muzee manganya nafurahi ku ku ona ukiwa Pastor

  • @OlivaNgonyani-t4w
    @OlivaNgonyani-t4w 10 месяцев назад

    Comedy plus hamkosei ❤❤❤❤ more

  • @shabankorongo6516
    @shabankorongo6516 10 месяцев назад

    Watu wa maana kabisa, naiona Hollywood ndani ya bongo movie 👏👏

  • @shalooboyburundi
    @shalooboyburundi 10 месяцев назад +1

    saw asant nasisi tunawakaribisha Burundi tushikamane

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 10 месяцев назад +10

    Hii kali ya mwaka jmn Tumeanza mwanzo km team strong n tutamalizana nayk love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 like zangu please 🙏

  • @SaidMwarandu-fd8gh
    @SaidMwarandu-fd8gh 10 месяцев назад

    kazi nzuri sana wanaokubaliana na mm dunga like aapa

  • @SalomeFesto
    @SalomeFesto 10 месяцев назад

    Waoooo🎉🎉🎉🎉🎉 mzee simba

  • @AnnaNaasi-o3e
    @AnnaNaasi-o3e 5 месяцев назад

    Nmefurah kumwona mwasi huku,napenda sana movie za kutisha hahahaa