SHILINGI Ep 132
HTML-код
- Опубликовано: 28 мар 2025
- Subscribe kufuatilia tamthilia ya Shilingi kuanzia Mwanzo hadi Mwisho katika Channel hii.
Comment kutuambia unachofikiria.
Share na wenziyo wajue tuanze mwendo Episode zaidi ya moja kwa siku
Like kuonyesha Love
Mazuri mengi yanakuja Soon
OG nembo wa mtaa from kenya👍wenye wanapenda baba Edna tujuane kwa like
Nimekuwa wakwanza Leo kutoka Kenya nawapenda sana Edina na maiko na wameenda sana❤❤❤
Leo wa kwnza km kwl umefraishwa na mauciano ya edna na Michael pita na like❤
Sio maiko ni david
@@Shokolokobango9385 chogo kaa mwiko uyo ni Michael mtukutu
We really appreciate you Mr DJ
Continue boosting us with this wonderful experience of good series
Jaman mauwa kwa edina na maiko kwa mapenz yao ya dhati❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow shilingi is the best ❤❤
Shilingi ni 🔥 wangine tunakesha nayo🇨🇦🇨🇦
tuna enjoy na shilingi tuma nyingine Dj❤❤❤
Wow shilling nd mamb mbaya❤❤❤❤
Aki hii shilingi ni nzuri Sana na mi🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika tuna enyoy na shilingi ❤❤❤ ..inatufunza
Woooo Leo nimewahii🎉🎉🎉🎉
Edina mambo ya Mungu 🙏🙏
Tunainjoi sana ❤❤❤hongereni nyote nawapenda bureeeeeeeh
Mjomba kinachotakiwa n mkushukuru Mungu n maneno ya Gutale 😂😂😂
Daaah huyu boss wa chande ana roho ngumu kweli mungu atusaidie tupate maboss wenye kujali😢
Ameen🙏🙏
Teena anaroho mbaya saaanaaa mwisho atapanga mpango wakumteka David
Roma nakupenda kwa Ajili ya Allah ❤❤❤🎉🎉🎉... Unatufurahisha sana pokea maua yako baba🌹💐🌹💐🌹🌹💐🥰🥰
Juma Leo, kibena kakuweza
Natarajia kuona mico na Edna wanaowana❤❤❤
Aki nibeeni Leo nawapenda
Magical. Watu wameikubali shilingi. ❤❤❤❤
Tumeni bhna hizi hazitoshi
❤❤❤nazidi kuwapenda
Chande😂😂😂ety baby walker😂😂😂😂
Good job Kibena ku mpoozesha chuma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yako kibena
😂😂
Chande mademu wanamgombania,,ngoja nimwambie kurya boy😂😂
Ongelen xana kaz nzuri
Moto 🔥🔥🔥kwenye shilingi 💪💪, from MSUMBIJI🇲🇿🇲🇿
Congratulation shilingi
Jamani raha sana shilingi ❤
Asantee mama wema kutukumbusha kuishi kwa malengo mjenge mwanao
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu Vipi hali tunaulizia Kuhusu shilingi Vipi
Shilingi mambo yanazidi kuwa 🔥🔥
Jaman shilingi tamuuuuu mpaka nimesahu kupika 😂😂😂😂😂haki ya Mungu 😊😊
😂😂😂😂😂 hivi movie nimetisha
David na edna respect nawapenda bure
Sema wema asikupend kuachana na saju
Ila hapa kwenye mapacha mumeenda mchomo kidogo maana mungeliweka tofauti japo moja ima kwenye meno mumtie kapeni ili aonekane km anamwanya au tofauti yoyote ile
C mmoja mkorofi mwengine mstaarabu
Mungeichezesha kama hatia vile alicheza Patrick na Joseph ndunguru ilikuwa poa
Iv nan anamuelewa ngokwe kam mm
kama umemic kumuona mzee tumbo tumbo gonga like
Fire 🔥 shilingi ni hatari na nusu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mzee ngokwe morali sana...
Chandeee😂😂😂 Unaongea na Makochi😂😂😂😂😂
Wiiiiiiiiiii nimekua wamwisho jmn mautam Yamesh nipit🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Maua ya DJ 🥀🥀🥀🥀🥀🌹
Masikini Chande ama kweli Uchawi upo.!!
😂😂😂😂😂😂chande kimemurambaa et babywoker inauzwa pesa ngapi ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂 kimeumana chande io kwio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂leo n Leo kitapambana
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ana shida yakufa uyo chuma😂😂
Mambo yanazidi kumchemkia chande😂😂😂
Chuma ckuhurumii coz wapenda ugomvi
Chande jaman una visa🤣🤣🤣🤣🤣
Woyooo 😂😂❤❤ wa kumi na tano Leo 😁
Mapenzi ya kweli Edina na micle
Jamani mabosi wenye pesa zao lazima tuzalilishwe tuupole chande jamani devidi mungu awabariki na edina wako na wapambe wako butale na ibra
Weeee, chuma kibena kakuweza😂😂 kampige maiko sasa
Mjomba alikua BDO amelala ndo yuaamka xx 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mjomba ataka kumvuruga Gutale
Watu wanenee sikuzote hatunaaa nguvuuuu 😂😂😂😂😂😂😂
Tantto...veramente mi sono piaciuto❤
Mfano wagokwe nimatata sana
Shilingi yetu ni motooo🎉🎉🎉
Chande utakosa mshahara shaur yako😂😂😂😂
Bug up sana shilling ❤❤🎉🎉
Thanks
Hakika tuna enjoy❤❤
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mama wema Ni kama anamfukuza wema kumbe anamjengea kesho yake
Like japo 5 love 💘 shiling
Wema hanamalengo anawaza mwanume mwenye hela
Leo nimewai mama wema mpe advice nzuri na edina na maiko hongera
Jmani humu ndani mwalala kweli
Tunaanzaje kulala ni mwendo wa shilingi
Tupo makini moja tu
Ila chidy eti yanalia pwaa wwe ngu 😂😂😂😂😂
Jini ana vinguo kama ajiuza😂
Chande kimeumana chande kula chuma hcho 😂😂😂😂😂
Kkkkkkkk hauna hela lakini unataka wanawake kazi yenyewe huna unapokeya kwa shida 😱🥱
Nimepnda husia w mama wema
David akisema yy c maiko shangazi atataka kujua alipo maiko😮
Chuma kala chuma😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipeni ongera zangu
Wema mapenzi hayawezi atafute shamba akalime🤣🤣🤣
Mwendlz dj ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanapendezeana Sana Edna na maiko nimeipenda hiyo.
Huyu bbake kibena vp,nimeanza kumuogopa asije akamdhuru david wetu
😂😂😂😂😂Chandeee 😂😂😂😂😂🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Shilling Ni tamu 😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉 like Kwa Chandeee😅 Bas
😂😂😂😂😂😂
Mpeni chande pesa zake musimfundishe matumizi
❤❤❤ asant san dj
Chande iyo kwiyo😘🥰🥰😘
Mganga mwakatobe njoho umuone mganga waukweli uku anafufua wafu sio wewe ngonjera nyingi
Chande huwishi vituko😂😂😂😂
Mapemaaaa
Aliyeelewa maneno aliyosema ngw0kwe kwa shangazi yake maiko nani na ameelewaje hilo,fumbo?
Leten muendelezo bwans
Chumaaa masikini jaman yani kiben😢😢
Chande we noma
Kama kawa kama dawa
hiii imeendaaa
Asante dj🎉🎉🎉🎉❤❤❤
WEMA atalia kama mmbwa ana Baki kuchanganya TU wanaume alafu yule maiko cjui atakufa cjui vip hee
Kweli devd ana siri yy sio maiko na shangazi yake anajua yy ni maiko
Shiling tamu San lkn wengine tuachika Kwa waumezetu twatumiwa sms pia hatuzioni kweli
Wema mskize mama Anacho sema